Mtandao wa kijamii wa Facebook ambao umekua ukitumika na watu wengu ulimwenguni na zaidi vijana sasa umesababisha watu kupigana mpaka kutaka kuuana hii ni baada kua na Beef la mda mrefu kupitia mtandaoni na huku wakiwa hawajawahi kuonana Face2face sasa baada ya vijana hao kuonana na kukumbukana kua wanazinguanaga kwenye Facebook sasa ndo hapoo kumi zilipoanza na hatimaye wananchi kushindwa kuingilia kwasababu walikua hawajui vijana hao wanatokea wapi na…
No comments:
Post a Comment